Usiku wa kuamkia Leo binti Huyu aliingia nyumbani kwangu bila watu kutambua tukamgundua alfajiri saa 11 alipokuwa anang'ang'ania kutoka nje ila anashindwa. Kibaya zaidi milango yote ilikuwa wazi wakati tuliifunga tulipokuwa tunaingia vyumbani kulala. Ni jambo ambalo linanikosesha amani siku ya Leo.
Majirani wakimshangaa Binti huyo…
CHANZO LINDI YETU.













No comments:
Post a Comment