Monday, 10 June 2013

ZIARA YA RAIS OBAMA AFRIKA ITALENGA MASUALA YA UIMARISHAJI WA DEMOKRASIA.

File:President Barack Obama.jpg
Ubalozi wa marekani nchini Tanzania umeelezea kwa kifupi juu ya ziara inayotarajiwa kufanywa na rais wa Marekani Barack Obama katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara ikiwa ni pamoja na masuala ya kuimarisha demokrasia. Rais Obama anatarajia kuanza ziara yake mapema Mwezi huu juni, ambapo atatembelea nchi mbalimbali  za Afrika ikiwemo Tanzania.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!