Monday, 10 June 2013

MBUNGE WA MTWARA MJINI ARUDI RUMANDE HADI TAREHE 12 /06/2013

clip_image001
Mbunge wa Mtwara Mjini ndg Murji amerejeshwa rumande mara baada ya kukosa kutimiza masharti ya dhamani iliyo tolewa na Mahakama. Kesi hiyo itasikilizwa tena tarehe 12/06/2013.
Mbunge huyo alikamatwa usiku wa Jumamosi tarehe 8/06/2013 kwa kosa la kuhusika na Uchochezi katika Vurugu zilizotokea Mkoani humo hivi karibuni



 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!