![](http://cache.daylife.com/imageserve/0afm5Gh6Kg4BF/545x.jpg?center=0.5,0)
Waziri mkuu atoa kauli kuhusu watakao leta fujo wapigwe virunngu na polisi wanahatarisha Amani ya nchi,na wakati huo huo tunahababarishwa kuwa,
Mwanyekiti CHADEMA amesema wana mtambo wa DRV wenye uwezo wa kurekodi masaa 72 hivyo wanaushahidi wote wa tukio la mlipuko wa bomu lililolipuka na kuua watu kadhaa, huko Arusha.
No comments:
Post a Comment