Wafanyakazi wa Benki ya Baclays wakitoa msaada wa vitu mbalimbali, kwa watoto waliolazwa katika wodi hiyo ya watoto katika hospitali ya Muhimbili. Michango hiyo imetolewa na wafanyakazi Wanawake wa Benki hiyo.
Sunday, 16 June 2013
WAFANYAKAZI WANAWAKE WA BENKI YA BACLAYS WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA WODI YA WATOTO MUHIMBILI
Wafanyakazi wa Benki ya Baclays wakitoa msaada wa vitu mbalimbali, kwa watoto waliolazwa katika wodi hiyo ya watoto katika hospitali ya Muhimbili. Michango hiyo imetolewa na wafanyakazi Wanawake wa Benki hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment