Wednesday 26 June 2013

TIMU YA YANGA IMESEMA HAITAKWENDA KUCHUKUA ZAWADI YAKE YA UBINGWA





Timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imesema haitokwenda kuchukua zawadi yake ya ubingwa itakayotolewa julai tatu na kampuni ya simu ya Vodacom ambao ndiyo wadhamini wa ligi hiyo kwa madai ya kucheleweshewa, kukabidhiwa zawadi hiyo ya zaidi ya shilingi milioni 70 na kwamba wanaYanga hao, walishawaelezea wahusika kuwa kuwamechelewa sana kupewa zawadi hiyo, na hivyowamewataka Vodacom  wapeleke zawadi hiyo Ofisini.


 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!