Thursday, 6 June 2013

TANZANIA NI MOJA KATI YA NCHI ZA KWANZA KUTIA SAINI MKATABA WA KUDHIBITI BIASHARA YA SILAHA


Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Ramadhan  Mwinyi akitia sahihi  kwa niaba ya Serikali, Mkataba wa Kimataifa wa Kudhibiti Biashara ya Silaha ( ATT) juzi.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!