Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kupanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana
Thursday, 6 June 2013
HIVYO NDIVYO ILIVYOKUWA BAADA YA MALKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA KUPATA TAARIFA ZA KIFO CHA MUMEWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment