Monday, 17 June 2013
WATAKAOTOA TAARIFA JUU YA WANAOJIHUSISHA NA ULIPUAJI WA MABOMU, KUJIPATIA KITITA CHA SH MIL 100
Serikali imesema itatoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa watakaotoa taarifa juu ya watu wanaojihusisha na ulipuaji wa mabomu katika maeneo mbalimbali nchini.Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu, na Sera uratibu,Mh.William Lukuvi alipokuwa akiwasilisha taarifa bungeni juu ya mlipuko uliotokea Arusha Jumamosi jioni katika viwanja Soweto baada ya Mkutano wa CHADEMA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment