

ilikuwa ni
kutoka UK kwenda Italy na mauti
yakamkuta huko
kweli drugs noumaaa
Jamani jamani
msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku
wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha
habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka
sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na
kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo)
wanawake/wasichana why?/ maana kwa sasa sisi
tunashika hatamu, kweli haya majanga jamani kataeni msiwe warahisi kukubali vitu
kwa sababu ya ugumu wa maisha, hakuna permanent situation so hicho kipindi
kigumu kitapita tu, kila siku nawaletea mifano na uthibitisho kwamba hivyo vitu
ni noma lakini hamkomi.<<>













No comments:
Post a Comment