skip to main |
skip to sidebar
HALI SI NZURI ARUSHA......MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA KUWATANYA WANACHADEMA WALIOFURIKA KATIKA UWANJA WA SOWETO.
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema, Polisi hivi sasa wanapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CHADEMA waliofurika katika uwanja wa Soweto Mjini Arusha ulipotokea mlipuko wa bomu Jumamosi kuomboleza ambapo polisi inasema mkusanyiko huo si halali, na kwamba kuna Mvutano baina ya wananchi na serikali kuhusu sehemu ya kuaga Miili ya maiti waliofariki kutokana na mlipuko wa Bomu uliotokea juzi.
Habari hizo pia zinatuhabarisha kuwa Tundu Lissu anashikiliwa na Polisi Huku mbunge wa
Mbeya Mjini Sugu akitajwa kupata ajali Mbaya
akielekea Arusha.
No comments:
Post a Comment