Rais
Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki
wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM,
Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea
wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es Salaam.
Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete. |

Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Malkia wa mipasho Bi Khadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.













No comments:
Post a Comment