skip to main |
skip to sidebar
FEZA WA TANZANIA APONEA CHUPUCHUPU KUTOLEWA KWENYE MASHINDANO YA BIG BROTHER.
FEZA azidi kupeta mjengoni....
Mtanzania FEZA
amenusurika kutoka katika jumba la biggie baada ya kuwa up for possible eviction
kufuatia kuwekwa kitanzini (nominated) Jumatatu
iliyopita...
Koketso mshiriki kutoka South Africa na LK4 ambaye ni
mshiriki kutoka Uganda wamekuwa washiriki wa tatu na wa nne kutoka katika
jumba la Big Brother Africa baada ya Denzel na Huddah kuyaaga mashindano wiki
iliyopita..
Hivi ndivyo
walivyopigiwa kura na nchi tofauti :
Total: Hakeem = 6; Feza = 3;
Dillish =3, Koketso = 2, LK4 = 1. (Total: 15 Votes)
No comments:
Post a Comment