skip to main |
skip to sidebar
PICHA TOKA MOROGORO AMBAKO ALBERT MANGWEA ATAZIKWA BAADA YA KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB
Wageni waliofika msibani Morogoro kwa marehemu Mangwea.
Masufuria ya chakula kwa watu waliokuwepo msibani morogoro.
Wakipanga jambo kutokana na eneo la nyumbani kwao marehemu Mangwea kuwa dogo
No comments:
Post a Comment