Friday, 7 June 2013

MWILI WA MUMEWA MALIKIA WA MIPASHO KHADIJA KOPA KUZIKWA MUDA HUU HUKO BAGAMOYO


Wakazi wa Magomeni wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mume wa Khadija Kopa marehemu Jafary Ally,wakielekea makaburini kwa ajili ya mazishi.Marehemu  alifariki mapema jana kwa ugonjwa. Marehemu Jafary Ally pia alikuwa ni diwani wa CCM kata ya Magomeni

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!