Wednesday, 5 June 2013

MWILI WA MANGWAIR WAWASILI MOROGORO SALAMA, VILIO NA MAYOWE VYATAWALA UPYA.


Msafara wa kupokea mwili wa msanii  marehemu Albert Mangwea ukiwa unaingia morogoro hapa ni eneo la nane nane,Umati mkubwa umejitokeza katika mapokezi hayo jioni ya leo
















No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!