Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Mizengo Pinda, akizungumza na Wadau mbalimbali wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa siku mbili, wa taasisi hiyo ya Benjamin Mkapa HIV/AIDS,mkutano ambao ulifanyika katika ukumbi wa NSSF Waterfront Jijini Dar-es-salaam.
Wadau mbalimbali wa Taasisi hiyo ya Benjamin Mkapa HIV/AIDS wakiwa katika mkutano huo.













No comments:
Post a Comment