skip to main |
skip to sidebar
MTU MMOJA AFARIKI KATIKA AJALI YA GARI....DEREVA ATIMUA MBIO
Mtu
mmoja amefariki dunia na waengine kumi kujeruhiwa vibaya baada ya gari
walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Hiace lilikuwa linatoka Arusha kwenda
Karatu kupasuka gurudumu la nyuma na kupinduka katika kijiji cha Silonga
wilayani Monduli
No comments:
Post a Comment