skip to main |
skip to sidebar
MTOTO MCHANGA ATUPWA KISIMANI....HUU NI UNYAMA GANI JAMANI?
Huu ni ukatili unaofanywa na baadhi ya wanawake ambao wakati wanafanya starehe zao hawakuchukua tahadhari matokeo yake kubeba mimba zisizotarajiwa mwisho wa matokeo huwa ni kama ujioneavyo kwenye picha, tahadhari kwa kina dada kama na wewe ungetupwa na mama yako leo hii nani angekutambua katika ulimwengu huu, unyama huu umefanywa huko barani Asia baada ya mama mmoja kuamua kumtumbukiza mtoto wake kisimani baada ya kumzaa. INASIKITISHA SANA
No comments:
Post a Comment