Leo ni siku ya kimataifa ya kukabiliana na matumizi ya dawa za kulevya na biashara haramu ya dawa hizo. Umoja wa Mataifa umeitenga siku hi ili kutathmini na kuuhimiza ulimwengu kupambana na janga hili ambalo linaathiri pakubwa jamii hasa vijana kote duniani. Vipi tunaweza kupambana na biashara hii haramu? ANGALIA MADAWA YA KULEVYA YANAVYOHARIBU NDUGU ZETU..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment