
Mkuu wa Kitengo cha Vipaji na Uendelezaji wa Biashara wa Kampuni ya Rockstar 4000 Bi. Christine Mosha “Seven” akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo ambapo amesema amefurahishwa sana kufanya kazi na Orijino Komedi ambao ni watu wenye vipaji vya hali ya juu na kuingia mkataba na Kampuni ya Nexus Consulting Agency ambapo kwa pamoja wamedhamiria kukuza na kubadilisha dhama ya vipaji na sanaa kutoka ilipo na kuwa ya kimataifa. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Nexus Agency Bw. Bobby Bharwani na kulia ni Muandaaji wa vipindi vya Orijino Komedi Sekioni David
.














No comments:
Post a Comment