
Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi Cheti maalum cha kuthamini michango yao, muakilishi wa KMKM Dokta Foum Ali Abdalla, huko Benki ya Damu Sebleni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.)










Mwanchi wa Zanzibar akichangia Damu katika madhimisho ya wachangia Damu Duniani huko Benki ya Damu salama Sebleni, leo Jun 14 2013.
Wafanyakazi wa Benki ya Damu Zanzibar, wakifutilia hutuba ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe. Balozi Seif Ali Iddi katika madhimisho ya wachangia Damu Duniani huko Sebleni.


No comments:
Post a Comment