JUST IN..................... WATU SABA WAJERUHIWA KWA MLIPUKO UNAODHANIWA KUWA NI BOMU HUKO ARUSHA.
Watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya, kutokana na mlipuko unaohisiwa kuwa ni bomu,mara baada ya mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ukifanyika katikaViwanja vya Soweto Mjini Arusha.
Majeruhi wa mlipuko wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, wakiwa katika hospitali ya Mount Meru iliyopo mjini Arusha. SOPHIE MBEYU BLOG ITAENDELEA KUWAHABARISHA ZAIDI STAY TUNED..........
No comments:
Post a Comment