Thursday, 6 June 2013

MAANDALIZI YA KUUGA MWILI WA MAREHEMU NGWAIR YAANZA HUKO MROGORO

Thursday, June 6, 2013




Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuaga mwili wa msanii marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani morogoro.

Utaratibu huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri mkoani morogoro kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa mji huo kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya maziko

 

.


Huu ni uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo wakazi wa mkoa wa Morogoro na jirani wataweza kuaga mwili wa marehemu Mfalme wa FreeStyle Albert Mangwair, Kisha kumpeleka kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!