Thursday, 6 June 2013

M2 THE P YUKO NJIANI KUELEKEA MOROGORO KUMZIKA SWAHIBA WAKE, NDIYE ALIKUYEWA NA MAREHEMU NGWAIR HUKO SAUZI, HALI YAKE BADO HAIJAKUWA NZURI

 
Msanii M2theP, aliekuwa na Ngwea nchini South Africa, amewasili jijini Dar leo hii na yuko njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya kumzika rafiki yake kipenzi.M2theP licha ya kuweza kufika hapa lakini hali yake bado haijakaa sawa. Amewashukuru watanzania wote waliomuombea na amefika salama Tanzania.
"tutakuwa pamoja kwenda kumzika ndugu yangu, kipenzi  changu Albert Mangwea, nashukuru sana watanzania kwa kuniombea, asanteni na endeleeni kuniombea, hali yangu haijawa nzuri zaidi. asanteni alisema M2theP

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!