
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Serena Hoteli, Seraphin Lusala akizungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kutoka PASADA wakati wa hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Kampuni ya Montage kwa kushirikiana na hoteli hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika. (Picha kwa hisani ya Habari Mseto Blog)
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambapo kampuni ya montagde iliandaa chakula cha mchana kswa ajili ya watoto wanaioishi katika mazingira magumu.
Watoto wakisherehekeasiku yao.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Serena Hoteli, Seraphin Lusala wakigawa vinywaji baridi kwa watoto.













No comments:
Post a Comment