![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhONo4bMyeifApZE4hYPHqU_5WwGtsIaeXI4CJp2dixNyZQKBV_hg48h2oa7-LjFgOlrLhyJXOaqZxuLcItgJcrDrJbeQLHAyw5lTRfAqWVBHW6fkzz01oGAmntG_-EszC7cxt6eH7i36o/s640/picha+no.2.jpg)
Waziri wa Fedha DK William Mgimwa, akimshukuru mkurugenzi wa Benki ya kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika Bw, Adulraziz Khelef, mara baada ya utiaji Saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania kiasi cha dola za Kimarekani 450 000 kwa ajili ya mradi wa maji mkoani Mara, na pia dola 300 000 kwa ajili ya msaada wa kiufundi katika chuo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo kikuu cha Dar-es-salaam..
Habari kwa hisani Michuzi.
No comments:
Post a Comment