Tuesday 21 May 2013

YALIYOJIRI KUHUSIANA NA KIFO CHA MFANYABIASHARA AYOUB MLAY, HUKO AMBROSIA CLUB









Mwili wa marehemu Ayoub mara baada ya kupigwa risasi na rafiki yake aliyejulikana kwa jina la Conrad huko Ambrosia Club iliyopo Kawe Beach jijini Dar-es-salaam. Kijana huyo amejulikana toka awali kuwa anahistoria ya kumiliki silaha za moto(bastola) na kuwatishia watu ambao anatofautiana nao. Hayo,yalisema na mmoja wa mashahidi wanaomjua kijana huyo(Conrad)  kwa undani zaidi. Kwa Mujibu wa mashahidi waliokuwepo katika Club hiyo wanasema kulikuwa na ugonvi kuhusiana na maswala ya pesa, na ndipo ghafla mtuhumiwa alitoa bastola na kushuti, na baadae kuondoka katika eneo la tukio, ambapo walinzi walifanikiwa kumkamta, na kumkabidhi kwa Polisi.








Habari kwa hisani ya Global publishers.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!