Tuesday 21 May 2013

RUSHWA BANDARINI IMESABABISHA HASARA YA DOLA MIL 1.8 ZA KIMAREKANI.

 

Tanzania imepata hasara ya dola bilioni 1.8 za kimarekani kwa mwaka jana kutokana na ukosefu wa ufanisi bora katika bandari ya Dar es Salaam, ambapo kwa mujibu wa ripoti ya benki ya dunia kama hatua za kuboresha ufanisi katika bandari hiyo zitachukuliwa na rushwa ikapungua ,uchumi wa tanzania utainuka kwa kiasi kikubwa.

 

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!