Monday 13 May 2013

TUFANYEJE KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI? MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA LORI..

Mtu mmoja amefariki dunia katika ajali iliyotokea wilayani Rungwe katika mteremko wa uwanja wa ndege baada ya Lori lenye namba T.376 BXD kupoteza mwelekeo baada ya breki kushindwa kufanya kazi ambapo lorii hilo lilikwenda kulivamia lori jingine  kando ya barabara na kulifanya liingie mtoni



Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa ajali iliyotokea wilayani Rungwe katika mteremko wa uwanja wa ndege baada ya Lori lenye namba T.376 BXD kupoteza mwelekeo

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!