Thursday 14 March 2013

WAZIRI PINDA AKUTANA NA WAZIRI WA IRELAND

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo (kulia) na Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Chrstopher Chiza Wakishiriki katika  mjadala kuhusu maendeleo ya LABS ya kilimo  yaaani mabara ya kufanya utafiti wa matatizo yanayoikabili sekta ya kilimo nchini na ufumbuzi wake  kwenye hoteli ya Whitesands jijini Dar essalaam Machi 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!