Wednesday 13 March 2013

BREAKING NEWS!!!!!!!!! KARDINALI JORGE BERGOGLIO ACHAGULIWA KUWA PAPA MPYA

Cardinal Jorge Mario Bergoglio.

Hatimaye kanisa la Katoliki limepata papa mpya usiku huu. Aliyechaguliwa ni kardinali Jorge Bergoglio kutoka Argentina. Hii ni historia kwani yeye ni papa wa kwanza kutokea Amerika ya kusini.
Amechagua jina la FRANCIS. Sophie blog itawaletea habari zaidi kwa kadri tunavyopata.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!