Wednesday, 16 June 2021

Watatu kunyongwa Kigoma


Watu watatu akiwemo aliyekuwa dereva wa kampuni ya China iliyokuwa ikijenga barabara ya Kasulu-Kidahwe mkoani Kigoma wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa na Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuuwa mlinzi wakati wakitekeleza tukio la wizi wa kifaa cha mtambo wa ujenzi kiitwacho control box.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!