Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuwaapisha Viongozi wapya Ikulu Dar es salaam leo
“Mkeyenge ni Kijana nimekunyanyua wewe ni Kijana ukafanye kazi Wakala wa Meli (TASAC), hapa nitatumia ule msemo wa Aweso, wewe ni Kijana Mimi ni Mama ukinizingua tutazinguana, kafanye kazi pale na sio kwenda kunyanyua mabega kwa wenzio”
Rais Samia Suluhu
No comments:
Post a Comment