Friday, 12 March 2021

Vinyonga ishirini na nne na Nyoka sita

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Ndumbaro, amesema Watanzania wanne wanatarajia kufikishwa Mahakamani kesho kwa tuhuma za kusafirisha vinyonga 74 na nyoka 6 kutoka milima ya Usambara, Tanga na kuwauza kwa Raia wa kigeni na wanyama hao kukamatwa nchini Austria.


“Tuwalinde hawa wanyama ambao wengine wanapatikana Tanzania pekee, tunaathiri uchumi na Utalii kwa kuwasafirisha”-Ndumbaro

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!