Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ataapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kesho Machi 19, 2021. Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu, Dar es Salaam, saa 4 Asubuhi.
Mama Samia anatarajiwa kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment