Wednesday, 31 March 2021

Asali sio dawa na ni Hatari kwa mtu mwenye Kisukari

 

Asali sio dawa na ni Hatari kwa mtu mwenye Kisukari na maradhi mengine ya Lishe ikiwemo Kitambi, Upungufu wa Hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume, Mvurugiko wa Homoni kwa wanawawake nk.


Uwezo wa Asali na Sukari ya mezani kupandisha sukari ni kama Unafanana. Kitabu cha Mwongozo wa Lishe Kina eleza Sayansi ya Asali na Aina zingine za Sukari.
"Sukari ni Sukari Seli za mwili hazina uwezo wa Kubagua na Kuchakata Sucrose ya asali tofauti na Sucrose ya Juisi au soda" Mchakato ni Uleule bila Kujali Ni sukari Asili au Sukari Nachuro.
"Homoni Huvurugika zaidi unapojidunga Vijiko kadhaa vya Asali Kila siku"

Dr Boaz Mkumbo.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!