Tuesday 13 October 2020

Shukurani ya punda ni mateke".JPM


"Unaweza mama ukawa na mume wako ukamtunza miaka karibu 10, unamzalia watoto, unamtandikia kitanda, mambo yote unampa ya chakula na ugali, inafika wakati anasema wewe mwanamke umepitwa na wakati..shukurani ya punda ni mateke".#JPM

@ccm_tanzania

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!