Friday, 9 October 2020

Bweni la shule ya sekondari ya kiislam ya African iliyoko maeneo ya Kaloleni mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto

Bweni la shule ya sekondari ya kiislam ya African iliyoko maeneo ya Kaloleni mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Oktoba 9, 2020, na kwamba hii ni mara ya tatu shule hiyo kuungua kwa vipindi tofauti tofauti.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!