Meneja wa 'YouTube Music Trends', Kevin Meenan amesema amevutiwa sana na Mbinu pamoja na Ubunifu anaoutumia Msanii huyo wa Bongo Fleva kwenye chaneli yake ya YouTube
Diamond ana 'Subscribers' millioni 3.6 na zaidi ya 'views' millioni 980 huku 80% ya watamazaji wakiwa wanatokea nje ya Tanzania tangu Mei 1, 2019 hadi Mei 1, 2020
CHANZO: JMF
No comments:
Post a Comment