Derek Chauvin, Polisi ambaye anatuhumiwa kusababisha kifo cha George Floyd, atafikishwa Mahakamani leo akikabiliwa na makosa ya kuua na kuua bila kukusudia, Wakili wa Floyd anasema Derek alikuwa na nia ya kuua ndio maana alimkanyaga Floyd kwa zaidi ya Dakika 8.
#MillardAyoUPDATES
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment