Thursday 21 May 2020

Miaka 24 tangu kuzama kwa Mv Bukoba


Tarehe 21 may 1996 ilitokea ajali ya kuzama kwa MV BUKOBA ndani ya ZIWA VICTORIA , Leo Imetimia Miaka 24 Tangu Meli ya MV Bukoba ilipopata Ajali Na Kuzama Mei 21 Mwaka 1996 Katika Ziwa Victoria, ajali ambayo ilichulua uhai wa Wapendwa Wetu Zaidi 800.
Ajali ya Mv Bukoba ni moja ya ajali kubwa kuwahi kutokea nchini, ajali iliyofanya Taifa kuzizima, ajali ambayo mpaka leo inakumbukwa
."R.I.P"

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!