Korea Kaskazini imesisitiza kwamba hadi leo haina hata mgonjwa mmoja mwenye corona licha ya ugonjwa huo kusambaa Duniani “siri ya mafanikio ni tahadhari ya mapema kimyakimya bila mbwembwe, corona ilipoanza China tukafunga mipaka, Bandari na Aiport, kila mgeni akawekwa karantini”
MillardAyo.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment