Dalili za mara kwa mara za Virusi vya Corona ni pamoja na Homa, Kikohozi kikavu (baada ya siku 2-7), Kupumua kwa tabu, Kukosa hamu ya Kula, Kuharisha na Maumivu ya Mwili kwa Ujumla
- Dalili za mara chache za Virusi vya Corona ni pamoja na Homa Kali, Homa ya Mapafu (Pneumonia), Kukohoa Damu na Figo kushindwa kufanya kazi
No comments:
Post a Comment