Sunday 22 March 2020

Waziri mkuu wa Italy aangua kilio " We lost control of the epidemic"




Maneno ya Waziri mkuu wa Italy, Guiseppe Conte yanaonesha kukata tamaa katika kudhibiti maambukizi ya virusi vya COVID19. Conte ametamka maneno hayo na kuangua kilio wakati akitangaza idadi ya vifo vilivyotokana na Corona nchini humo kufikia 4,825. #PrayForItaly #COVID19

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!