Monday 23 March 2020

MAPYA YAIBUKA DADA WA KAZI ANAEDAIWA KUUAWA NA BOSS WAKE "ALIGOMA KUMZIKA NA ALIMCHUKUA"


Sheria ishike mkondo wake, inakuwaje mtu apige mtoto wa mwenzie mpaka kuua? na yule mme wake nategemea nae amekamatwa,kwasababu wakati huyo binti anapigwa vibaya na yeye alikuwepo na video ikachukuliwa ni nani alichukua hiyo video? 



Yaani mtu anapigwa mpaka kufa, wewe unachukua video? Hao wote watiwe ndani, haki huyu mama aminiliza mno, kweli umasikini hauna adabu! Ona hapo anapoishi alikuwa anamtegemea mwanae huyo marehemu.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!