Saturday 11 January 2020

Sitoki nje ya Afrika tunaowatembelea wanakaa kwenye Nchi zao hawaji Afrika” - JPM

Image result for jpm zanzibar
“Tangu nimekuwa Rais sijawahi kutoka Nje ya Africa na nataka nimalize miaka mitano bila kutoka Nje ya Afrika kwasababu tunaowatembelea nao wanakaa kwenye Nchi zao hawaji Afrika” - JPM

“Zanzibar pana amani lakini Wavuruga amani wapo na vibaraka wapo na hawaishi, walikuwepo tangu enzi za mitume , hata Mungu aliumba Malaika wakataka kuwa kama yeye akawafukuza ndio wakawa Mashetani, Vibaraka hawaishi “- JPM

“Vibaraka wavuruga amani hawaishi, muda mwingine mnaweza mkafanya Uchaguzi ukamalizika mwingine akawa anasema nitaapishwa tu, msubiri nakuja kuapishwa“ - JPM

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!