Wednesday 29 January 2020

Klabu ya Aston Villa yawashukuru watanzania kwa sapoti


Klabu ya Aston Villa imewashukuru watanzania kwa sapoti waliyoionesha kwenye mechi ya kwanza ya mshambuliaji Mbwana Samatta ndani ya klabu hiyo.
"Asante Tanzania, Mmeonesha sapoti ya nguvu kwa Samatta kwenye mchezo wake wa kwanza usiku wa jana"

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!