Wednesday, 11 December 2019

Polisi-Wamembaka hadi kufa "Tumewanasa"

Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala wanawashikilia Vijana wanne kwa tuhuma za kumbaka kwa zamu Msichana wa miaka 14, Mwanafunzi wa Darasa la Sita Katika Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni DSM hadi kufikia hatua ya Msichana huyo kufariki Dunia.
_

Tukio limetokea Mtaa wa Pugu Bombani ambapo Mwenyekiti wa Mtaa huo Amani Bungara amesema kufuatia tukio hilo wameamua kila mwenye nyumba katika eneo hilo lazima awapeleke Wapangaji wake Ofisi ya Serikali ya Mtaa ili wajulikane.
_
Utakumbuka miezi kadhaa iliyopita katika eneo la Pugu Watu wasiojulikana walifukua Kaburi na kuitoa maiti iliyokuwa imezikwa na kudaiwa kuiingilia kimwili.

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!