Tuesday 10 December 2019

Nabaki gerezani uraiani kugumu



Mfungwa Merad Abraham ambaye alipaswa kurejea Uraiani na wenzake baada ya msamaha wa Rais Magufuli alioutoa kwenye Maadhimisho ya Uhuru, amekataa kuondoka katika Gereza la Ruanda Mbeya akidai hana pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe ili arejeshwe Gerezani “ikiwezekana nitolewe hapa nihamishiwe Gereza la Ukonga DSM ila sio Uraiani”

No comments:

 

ADVERTISE WITH US

AFRICAN FASHION

PLACE YOUR ADS HERE!